Sababu ya Jacquline kutopata mtoto

0
92

Muigizaji wa Bongo Movie, Simon Mwapagata ‘Rado’ amesema kuwa licha ya yeye kuingia kwenye ndoa, lakini anayo siri kubwa ya msanii wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper.

Rado amesema kuwa kipindi akiwa na uhusiano na Wolper, mwanadada huyo aliwahi kumwambia Rado bila yeye hawezi kuwa na mtoto milele.

“Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na Wolper, na kitu ambacho aliniambia na huwa nakifikiria na pia kinanishangaza hadi leo, ni kwamba hawezi kupata mtoto bila mimi.

Jacqueline Wolper ni miongoni mwa wasanii maarufu wa Bongo Movie ambao hadi sasa hawana mtoto licha ya kutoka kimapenzi na wanaume wengi.

LEAVE A REPLY