Rose Ndauka afunguka kubadili dini na kufunga ndoa

0
116

Muigizaji wa Bongo Fleva, Rose Ndauka ameibuka na kuwajibu watu wanaohoji kuhusu hatma ya dini yake kwa sasa baada ya kufunga ndoa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika “Maswali yamekuwa mengi sana kuhusu kubadili dini na kufunga ndoa hivi karibuni.

Rose Ndauka amesema kuwa nimetoka kwenye tumbo la mwanamke wa kiislam na kulelewa na kulelewa na mwanamke huyu kwakifupi nimekuwa kwenye uislam na baba akiwa Christian.

Pia amesema kuwa Naveen ambaye ni mtoto wake ni muslim kabisaaaa bila kupepesa sasa jamaniii acheni kutaka kujua sana mengine tuwaachieni wenyewe.

LEAVE A REPLY