Roma afunguka kuhusu Stamina

0
411

Staa wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki amesema kuwa licha kuwa kutoelewana na mwanamuziki mwenzake Stamina lakini bado wakawa wanafanya kazi pamoja.

Roma amefunguka kwa kusema kuwa yeye na Stamina huwa wanapishana mara nyingi hata wakiwa katika ziara mbalimbli na tofauti zao kuto kuzihusianisha na kazi yao ya muziki.

‘’kiukweli huwa tunapishana sana na Stamina kama ilivyo kwa binadamu wengine wanavokuwa wanapishana lakini tunapokuja katika kazi ambayo inatakiwa tufanye tukiwa wote huwa tunaweka pembeni matatizo yetu na tunapanda jukwaani kufanya ‘Show’.

Roma na Stamini ni wasanii ambao wamekuwa wakiwautia sana mashabiki wa muziki hasa kwa jinsi ambavyo wamekuwa wakifanya maonesho yao ambayo yamekuwa yamejawa na ubunifu mkubwa ambao sio rahisi kuwazoea.

LEAVE A REPLY