Rich Mavoko awaacha mashabiki wake na mshangao

0
199

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Rich Mavoko amewaacha wengi kwa mshangao baada ya kuposti caption ambayo imeacha comments nyingi huku wengi wakijiuliza dhumuni la Mavoko kuandika hivyo.

Rich Mavoko ameandika “Ni Siku Ya Mwisho Ya Maisha Yangu Yaliobaki’ kutokana na hicho alichokiandika Mavoko baadhi ya mashabiki wanahisi kuwa anataka kujiua kutokana na muziki wa bongo fleva kuwa mgumu na wengine kudai kuwa ni msongamano wa mawazo.

Fahamu kuwa ngoma ya Wezele ndio ngoma ya mwisho kutoka kwa Rich Mavoko kupitia mtandao wa You Tube.

MAVOKO

LEAVE A REPLY