Real Madrid ‘uso kwa uso’ na Dortmund klabu bingwa Ulaya leo

0
159

Michuano ya Klabu bingwa barani Ulaya leo inaendelea tena huku mechi inayosubiliwa kwa hamu ikiwa ni kati ya Real Madrid na Borussia Dortumund kwenye ambayo itakafanyika katika dimba la Sidney Iduna Park.

Mechi nyingine itawakutanisha Manchester City dhidi ya Shakhtar Donetsk katika mchezo utakaofayika katika uwanja wa Etihad jijini Manchester.F.

Napoli wao watakuwa nyumbani katika dimba la Stadio San Paolo, Naples ambapo itawakaribisha Feyenoord.

Liverpool wao wamesafiri hadi Urusi kuwafuata Spartak Moskva mchezo utakao pigwa katika dimba la Otikrytie Arena jijini Moscow.

Sevilla itakuwa katika dimba la nyumbani la Ramón Sánchez Pizjuán Stadium ikicheza dhidi ya Maribor.

Besiktas inacheza na Rasen Ballsport huku Monaco itaikaribisha klbau ya FC Porto kutoka Ureno.

Apoel Nicosia itakuwa nyumbani ikicheza dhidi ya Tottenham kutoka nchini Uingereza katika kundi H.

LEAVE A REPLY