Rayvanny afunguka sababu ya kubadili muonekano wa nywele zake

0
212

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvany amesema kuwa sababu iliyompelekea kubadili muonekano wa  wa nywele zake kwa sababu anataka kuwa na muonekano tofauti.

Kauli ya mwanamuziki huyo imekuja baada ya watu kuhoji sababu ya mwanamuziki huyo kubadilisha muonekano wake huo.

Rayvanny anasema ‘Muda mwingine msanii unatakiwa kubadilika sio kila siku panki tu ,  na ninajua karibuni taanza matusi yenu na kuniambia toa, toa, toa lakini sitoi huu ndo muonekano wangu kwa sasa.”

Wasanii hwa kutoka katika kundi hili kwa sasa  wamekuwa kama wameambizana kwa sababu wote wamebadili muonekano yao kichwani.

Mbali na mwanamuziki huyo wasanii wengine kutoka WCB nao wamebadilisha muonekano wa nywele zao akiwemo Diamond Platnumz na Harmonize.

LEAVE A REPLY