Raymond wa TIP TOP kama alivyokuwa anajulikana na wengi kabla ya kujiunga na kundi la WCB akitokea kundi jingine la TIP TOP Connection. Ndani ya muda mfupi sana tangu ajiunge na WCB, Raymond amefanikiwa kutimiza chache kati ya ndoto nyingi alizonazo maishani. Ndoto ambayo imemfanya Raymond kuwa ‘INNOCENT INTERVIEWEE’ ni ukweli kuwa alikuwa akitamani mno kufanyiwa mahojiano na vyombo vya habari akiwa kama mgeni mualikwa. Siku ya kwanza ambapo Raymond alipata nafasi, hakika alimshukuru sana MUNGU kwasababu kuanzia sauti yake mbele ya kipata sauti hadi muonekano wake mbele ya kamera siku alipopata nafasi ya kusimama mbele ya kamera ulidhihirisha kuwa ndoto hiyo hakika ilikuwa imetimia. Is it good to appear and sound nervous on your first interview? Is it the impression a star wants to last throughout the professional career? Ndoto gani nyingine ambayo staa huyo mpya wa Bongo Fleva anataka kuitimiza? Ni wazi kuwa anatafuta mpenzi kutoka familia ya kitajiri ambaye watapendana kwa dhati ambaye atampeleka nyumbani kwao ambako ni HOHE HAHE……Unabisha?Hebu msikilize kwenye ngoma yake hii hapa chini.
MOST POPULAR
CELEBS
Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...
Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa.
Kanda hizo...
SPORTS
Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua.
Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...
Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi
Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana.
Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...
De Gea ashinda tuzo Golden Glove
Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson.
Ameshinda tuzo...