Ray C aweka wazi majibu yake ya Ukimwi

0
307

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Rehema Chalamila maarufu kama Ray C ameamua kuanika majibu yake ya vipimo vya virusi vya Ukimwi alivyopima hivi karibuni.

Ameamua kufanya hivyo ili kila mtu ajue kuhusu afya yake hivyo kwake kufanya hivyo hakuna tatizo kabisa kwani ajisikia huru.

Ray C ambaye aliwahi kutamba na vibao vikali kama vile ‘Mapenzi matamu’ ‘Na wewe milele’ na vinginevyo ameweka wazi kuwa hana maambukizi ya virusi vya Ukimwi.

Ray C anaishi nchini Uingereza lakini yupo nchini Marekani kwa ajili ya kufanya shoo ameanika majibu hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Mwanamuziki huyo kwasasa ameaonekana na afya njema toka aachane na matumizi ya dawa ya kulevya ambayo yalisababisha kudhoofisha.

LEAVE A REPLY