Ratiba Uefa: Chelsea ‘uso kwa uso’ na Barcelona

0
208

Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) leo limechezeshwa droo ya klabu bingwa barani Ulaya kwa timu 16 zilizofuzu hatua hiyo.

Katika droo hiyo mechi ngumu zaidi zitakuwa kati ya Barcelona itakayocheza dhidi ya Chelsea huku mechi nyingine ikiwakutanisha Real Madrid na PSG.

Ratiba kamili ipo kama ifuatvyo.

drroo

 

LEAVE A REPLY