Ratiba: Ligi kuu nchini Uingereza kuendelea leo

0
131

Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea tena kwa michezo sita katika viwanja tofauti nchini humo ikiwa ni mechi za 17 katika ligi hiyo maarufu duniani.

Ratiba kama ifuatavyo

Crystal Palace vs Chelsea saa 9:30

Middlesbrough vs Swansea saa saa 12 kamili

Stoke City vs Leicester City saa 12 kamili

Sunderland vs Watford saa 12 kamili

West Ham vs Hull City saa 12 kamili

West Bromwich vs Manchester United saa 2:30

 

 

LEAVE A REPLY