Rasmi: Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo atumbuliwa

0
871

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambapo uteuzi wa kujaza nafasi yake utafanyika baadaye.

magufuli-muhongo

 

LEAVE A REPLY