Rasmi: Evra ajiunga Olimpique Marseille ya Ufaransa

0
214

Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa, Patrice Evra amejiunga na klabu ya Marseille kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea klabu ya Juventus ya Italia.

Evra mwenye umri wa miaka 35 ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United ya Uingereza amejiunga na Ligi 1 baada ya mkataba wake na mabingwa hao wa Italia kuisha.

evraaaa

Mchezaji huyo ameamua kujiunga na ligi ya kwao baada ya Marseille kuvutiwa na beki huyo wa kushoto ambaye amfanikiwa kushinda mataji ya ligi kuu nchini Italia toka ajiunge akitokea Manchester United.

 

LEAVE A REPLY