Rami Galis kumpa mtoto wa Masogange mauzo ya filamu yake

0
141

Muigizaji wa Bongo Movie, Rammy Galis amekusudia kumpa fungu la pesa Sania mabye ni mtoto wa Agness Masogange mara baada ya kuzindua filamu yake aliyoigiza naye.

Rammy amesema kiasi hiko cha pesa atahakikisha anakamkabidhi mwenyewe mtoto Sania, ambayo ni stahiki yake kutokana na kazi aliyoifanya marehemu mama yake kwenye filamu ya ‘Hukumu’ waliyoigiza.

“Kwanza nisingependa kutangaza rasmi kiasi ambacho kitamfikia kwa sababu sijui filamu mauzi yake yatakuwaje,.

Rammy Galis amesema filamu hiyo anakusudia kufanya uzinduzi wake mkoani Mbeya ambako Agness ametokea, na anasubiri msiba upite kabisa ili watu wasije wakasema amefuata kiki ya msiba kufanya kazi zake.

LEAVE A REPLY