Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Kigoma Mjini

0
175

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitizo kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, Dkt Walid Amani Kaburu kilichotokea usiku wa kuamkia leo Machi 7, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

magu

LEAVE A REPLY