Rais Magufuli ateua mabalozi wapya

0
92

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Balozi.

Kabla ya uteuzi huo Kidata alikuwa Katibu Mkuu, Ikulu.
Mingine aliyeteuliwa leo kuwa balozi ni Meja Jenerali Mstaafu, Simoni Mumwi ambapo wate wamechaguliwa na Rais Magufuli.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa mabalozi hao wateule watapangiwa vituo vyao vya kazi na kuapishwa baada ya taratibu kukamilika.
HABARI

LEAVE A REPLY