Rais Magufuli amuhakikishia Dkt Kimei kazi Serikali

0
98

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema licha ya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk Charles Kimei anakaribia kustaafu ameahidi kumpatia nafasi katika Serikali ya Awamu ya Tano.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo wakati akizindua tawi la benki hiyo wilayani Chato mkoani Geita.

Rais Mahufuli amesema kuwa Kimei wewe ustaafu tu lakini nasema nafasi bado zipo. Muda wako unamalizika CRDB lakini Serikalini bado unaweza kufanya kazi ndani ya Serikali bado upo na ninakuahidi asilimia 100.

Dkt. Charles Kimei anakaribia kustaafu wadhifa wake wa mkurugenzi wa benki ya CRDB ifikapo mwakani.

LEAVE A REPLY