Rais Magufuli ahimiza ujenzi wa Bomba la mafuta

0
68

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameitaka kampuni ya Total kuharakisha ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania.

Rais Magufuli amesema hayo leo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni hiyo Momar Nguer Ikulu jijini Dar es Salaam.

magufuli

LEAVE A REPLY