Rais Magufuli aguswa na kifo cha mbunge wa Chadema

0
310

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kufuatia kifo cha mbunge wa viti Maalum, Bi Elly Macha kilichotokea Ijumaa hii nchini Uingereza.

taarifa

LEAVE A REPLY