Q Chilla atangaza kuachana na Bongo Fleva

0
104

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Q-chillah amesema kuwa anatarajia wa kustaafu kufanya na kuimba mziki wa Bongo fleva siku za mbele.

Q-chillah amefunguka na kudai kuwa anataka kuacha kuimba muziki wa Bongo fleva na badala yake ana mpango wa kuimba muziki ambao utaendana na umri wake. Mziki ambao ana mpango wa kufanya ni ambao utakuwa una mahadhi ya ragga.

Lakini pia Q chillah amefunguka na kuiambia Enews ya East Africa Tv kuwa yeye bado anatembea kama bwana harusi mtarajiwa anapambana na kuweka mipango yake sawa ili mwaka 2018 afunge ndoa kama alivyodhamiria;

 Lakinipia Qchief amefunguka kuhusu mipango yake ya kuoa kwa mwaka huu wa 2018 ambapo amedai kuwa bado anajipanga na endapo itakuwa tayari basi atatangaza habari njema hiyo lakini kwa hivi sasa anapiga kazi zake za kimziki sana.

LEAVE A REPLY