Prodyuza T Touch afungua studio yake ‘Touchez Sound’

0
610

Mtayarishaji wa muziki nchini, Mr T Touch aaliyekuwa akifanya kazi kwenye studio zinazomilikiwa na stay mtukutu kwenye bongo Fleva na Hip Hop, Ney wa Mitego amefungua studio yake mwenyewe inayokwenda kwa jina la Touchez Sound iliyopo jijini Dar es Salaam.

Akiwa na Free Nation Records ya Ney wa Mitego, T-Touch aliwahi kutengeneza gnome kali zilizompa umaarufu mkubwa Ney wa Mitego ikiwemo ngoma ya NAKULA UJANA.

T-Touch ameungana na msururu wa watayarishaji muziki nchini ambao wanamiliki studio zao wenyewe akiwemo staa wa kundi la Navy Kenzo Nahreel na wakongwe kama Master Jay, P-Funky na Lamar.

LEAVE A REPLY