POWER OF VOICE? Maneno ya Celine Dion kwa m-Gabon Samuel

0
293

Baada ya kuiona video ya kijana wa Gabon, Samuel mwenye miaka 17 akiimba nyimbo yake ya ‘POWER OF LOVE’ staa wa Pop, Celine Dion ameyasema haya.

“Samuel, your talent is as big as your voice,” Dion wrote. “I hope we have the chance to meet one day.”

“I’m touched my songs have travelled all the way to you and hope we have the chance to meet one day,”.

“May all your dreams come true. Keep singing like you do. When music comes from the heart, it knows no borders!”

Tayari Samuel ameshaanza kufuatwa na watengenezaji wa vipindi vya TV vya mashindano ya uimbaji kutoka Ufaransa na Ivory Coast.

Dion aliiona video ya Samuel iliyopostiwa na mwandishi wa mitandaoni wa Gabon, kabla ya Dion kuipost na kutazamwa na watu zaidi ya milioni 2.5

LEAVE A REPLY