PL: Man U, Arsenal, Liverpool na Man City vitani leo ligi kuu Uingereza

0
120

Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea kwa michezo saba katika viwanja tofauti nchini humo.

Ratiba kama ifuatavyo

 

Sunderland vs Arenal saa 8: 30 mchana

 

Manchester vs Burnley saa 11:00 jioni

 

Middlesbrough vs Burnemouth saa 11: 00 jioni

 

Tottenham vs Leicester City saa 11: 00 jioni

 

Watford vs Hull City saa 11: 00 jioni

 

West Bromwich vs Manchester City saa 11: 00 jioni

 

Crystal Palace vs Liverpool saa 1: 30 usiku

 

LEAVE A REPLY