PICHA KALI ZAIDI INSTAGRAM?

0
685

Picha ya Instagram ya staa wa muziki na muigizaji filamu, Selena Gomez akinywa soda kwa mrija imeipiku picha ya awali ya mrembo huyo na aliyekuwa mpenzi wake Justin Bieber na kuwa picha inayoongoza kwa kupata likes nyingi zaidi kwenye mtandao huo.

Picha hiyo hadi sasa imeshapata likes zaidi ya 4m huku picha ya zamani akiwa na Bieber ikiwa na like 3.7m

selena

LEAVE A REPLY