Penny azidisha maombi mwezi wa Ramadhan mungu ampe mume bora

0
246

Mtangazaji wa Televisheni Penniel Mulingwa  ‘Dvj Penny’ amefunguka na kusema kuwa katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani hataki kugombana na mtu yoyote kwani haipaswi kufanya hivyo.

Penny ambaye hivi sasa anafanya vizuri Kwenye utangazaji wa kipindi chake cha Harusi zetu kinachorushwa Magic Swahili.

Penny amefunguka na kueleza Bongo jinsi mwezi huu mtukufu wa Ramdhani ulivykuwa na maaana kwake kwani hana mpango wa kugombana na mtu hata akimchokoza.

Amesema kuwa kwa hivi sasa kila mmoja anatakiwa ajishushe kwa ajili ya kuuheshimu Mwezi wa Ramadhan kwani ndiyo wenye baraka tele.

Penny alisema mwezi huu yuko kwenye maombi mazito na kubwa zaidi analoliomba ni Mwenyezi Mungu amletee mume bora.

LEAVE A REPLY