Orodha ya washindi wa Afrimma

0
194

Tuzo za AFRIMMA ambazo zilifanyika Jumapili ya October 7,2018 Dallas Texas Marekani zimetaja wasanii waliofanikiwa kushinda tuzo hizo usiku huo.

Khaligraph Jones ni miongoni mwa wasanii walioondoka na tuzo ya msanii bora wa Hip Hop Afrika, wimbo wa Soco wa Wizkid ndio unatajwa kuwa wimbo bora wa mwaka na Yemi Alade ameondoka na tuzo ya msanii bora wa kike kutokea Afrika Magharibi.

BAADHI YA WASHINDI

Best Rap Act
Khaligraph Jones

Best Newcomer
Ykee Benda – Uganda

Song of The Year
Wizkid – Soco

Best Male East Africa
Eddy Kenzo – Uganda

Best Female West
Yemi Alade

Best Male Central Africa
Fally Ipupa – Congo

Artist of The Year
Fally Ipupa

AFRIMMA Video of The Year
Wizkid – Soco

 

 

LEAVE A REPLY