Nyuki wasimamisha mechi ya kriketi Afrika Kusini

0
275

Mechi ya kriketi kati ya Afrika Kusini na Sri Lanka imeharishwa baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanjani wakati mechi hiyo ikiendelea nchini Afrika Kusini.

Nyuki hao walivuruga mechi mara mbili na kusababisha wachezaji kukimbia kutoka uwanjani mjini Johannesburg hali iliyosababisha mechi kusitishwa kabisa.

Watunza uwanja walitumia gesi ya kuzima moto kujaribu kuwafukuza nyuki hao kabla la ya kuwaita wavugaji wa nyuki.

Mechi iliendelea tena baada ya saa moja na Afrika kusini wakashinda mechi hiyo.

 

LEAVE A REPLY