No more SELFIE with Jeniffer Lawrence? Awapiga STOP mashabiki wake

0
133

Staa wa filamu wa Marekani, Jennifer Lawrence ameanzaisha ‘ubaya’ na mashabiki wake kwa kuweka wazi nia ya ku-STOP kupiga selfie na mashabiki hao.

Lawrence aliliambia gazeti la Daily Telegraph kuwa sababu kubwa ya kufanya hivyo ni ukweli kuwa mashabiki hao wanafikiri tayari wana urafiki na yeye kwakuwa yeye ni staa lakini kinyume chake ni kuwa ‘HAWANA UKARIBU na HAWAJUANI’.

‘Nafikiri watu (mashabiki) wanafikir kuwa wananifahamu vizuri kwasababu wananiona sana kwenye kazi zangu lakini ukweli ni kuwa hawanijui na mimi siwajui pia hivyo nahofia kujifanya nawajua’.

Ninapaswa kuilinda kazi yangu na hiyo inaenda sambamba pia na kujua namna ya kuishi na mashabiki wangu.

LEAVE A REPLY