New video: Young Dee – Furaha

0
548

Rapa anayefanya vizuri kwenye muziki wa hip hop nchini, Young Dee ameachia video yake mpya inayoitwa ‘Furaha’. katika post yake kupitia akaunti yake ya Instagram Young Dee ameudedicate wimbo huo kwa rapa mwenzake Dogo Janja alifiwa na baba yake mzazi.

LEAVE A REPLY