Ndauka: Wasichana kwenye uhusiano wanatakiwa kuangalia nyota

0
170

Muigizaji nyota wa Bongo Movies, Rose Ndauka amesema wanawake walio kwenye uhusiano wanatakiwa kuangalia nyota kama zinaendana na wapenzi wao.

Rose amesema kuwa, uhusiano unaweza kuyumba kutokana na vitu vingi, lakini kikubwa ni kutoendana kwa nyota za wapenzi walio wengi.

“Nawashauri wasichana waliopo kwenye uhusiano na wanaotarajia kuingia humo, wawe na tabia ya kuangalia nyota zao kwani hilo ndilo tatizo kubwa,” amesema Rose.

Rose ambaye hivi karibuni amefunga ndoa na mpenzi wake, Hafidhi Mkongwa kabla ya mwezi wa Ramadhani kuanza.

LEAVE A REPLY