Nay wa Mitego afunguka sababu ya kutomshirikisha Vanessa Mdee

0
112

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa wimbo alioshirikiana na Nini mwanzoni alitakiwa kushirikina na Vanessa Mdee.

Nay amesema kuwa wimbo huo alipanga mwanzoni kufanya na Vanessa Mdee badala ya msanii Nini ambaye ndiyo amefanya nae wimbo huo.

Nay amesema kuwa “Mdundo wa ngoma hii nilifanya mwenyewe nikapanga kufanya na Vanessa, ukawa upo ndani kama miezi mitatu, sasa siku moja nipo ofisini upande wa studio nikausikia tena upande wa studio nikauelewa zaidi lakini sikuukumbuka vizuri,” amesema.

Nay amesema baada ya hapo producer wake alimpatia Nini mdundo wa ngoma hiyo na alipokuta ameingiza sauti vizuri ndipo alipoingiza na yeye na ngoma ikawa imekamilika.

LEAVE A REPLY