Navy Kenzo waukwaa ubalozi

0
133

Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwa mabalozi wapya wa Application ya simu iitwayoKlabaa inayohusika kuwakutanisha watumiaji wa hiyo application hiyo sehemu  mbalimbali za burudani nyakati za usiku kama Clubs na Lounges pamoja na matukio mbalimbali.

 Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Aika amesema Kazi yao ni kusafiri nao watawaonyesha jinsi ya watu wanavyostarehe katika Clubs, Lounges pia kutangaza kazi zao za muziki kupitia shavu hilo wataenda nao Marekani, Dubai, South Africa na nchi nyingine kuitangaza hiyo Application yao mpya wakiwa na kazi zao.
 Pia Aika amesema kwamba kampuni hiyo imekuwa wakiwatafuta tangu mwaka 2015 lakini walikuwa wanazungumza nao kwa hiyo mwisho wa siku wakakubaliana na wakapewa ubalozi huo kwa hiyo watakuwa wakiwatumia wao kama kutangaza Application yao na wamesaini nao mkataba wa miaka miwili.

LEAVE A REPLY