Nape ‘atumbuliwa’

0
1196

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye.

Kupitia taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu, Rais Magufuli amemteua, Harrison Mwakyembe kushika nafasi hiyo.

Pia Rasi Magufuli amemteua Palamagamamba Kabudi kuwa waziri wa katiba na Sheria akichukua nafasi ya Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo.

press

LEAVE A REPLY