Nandy kushirikiana na Hamisa Mobetto kwenye matamasha nchini Marekani

0
175

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy ametangaza kushirikiana na Hamisa Mobetto kwenye matamasha yatakayofanyika nchini Marekani.

Nandy ameweka wazi kuwa mwezi huu baadae anatarajia kuungana na Hamisa Mobetto kwa ajili ya your yake ya nchini Marekani.

Nandy ameweka wazi kuwa yeye na msanii mwenzake Aslay wanatarajia kuungana na Hamisa Mobetto nchini Marekani.

Hamisa Mobetto yupo nchini Marekani kwa zaidi ya mwezi sasa ambapo ameonekana akiwa anafanya matamasha katika majimbo mbali mbali katik nchi hiyo.

LEAVE A REPLY