Nandy aweka wazi mipango ya ndoa yake

0
226

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles maarufu kwa Jina la usanii kama Nandy amefunguka na kuweka wazi kuwa anategemea Kuolewa hivi karibuni.

Nandy amesema kuwa kuwa kuna mipango kabambe  ambapo ataolewa hivi karibuni huku akigoma kumwanika mwanaume wa kumuoa.

Nandy ameongelea furaha yake aliyonayo kwa hivi sasa baada ya Kupitia kipindi kigumu kwenye maisha yake mwezi uliopita.

Mwezi uliopita Nandy aliposti a kipindi kigumu baada ya video yake ya ngono akiwa na mpenzi wake kwa kipindi hiko Billnas kuvuja Kwenye mitandao ya kijamii na kusababisha kudhalilika kupita kiasi.

LEAVE A REPLY