Nandy aonesha gari lake jipya

0
187

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles maarufu kama Nandy ameendelea kuonesha mafanikio yake kupitia muziki baada kuonesha gari lake jipya alilonunua hivi karibuni.

Nandy ameionesha gari hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwenye Insta story kwa kupost video akilionesha hilo gari na namba zake mpya.

NANDY

Gari hilo alilonunua Nandy ni aina ya Toyota Alphard inayokadiriwa kuwa na thamani ya million 16 mpaka 17 za Kitanzania.

Nandy amenunua gari hilo huku ikiwa tayari anamiliki magari mengine mawili aliyowahi kuyaweka hadharani ambayo ni Mercedes Benz E-Class E320 CDI na BMW X1.

Mafanikio ya mwanamuziki huyu yameanza kuonekana hivi karibuni baada ya kufanya vizuri kwenye kazi yake ya muziki.

JIPYA

LEAVE A REPLY