Nai awachana wasanii wanaopenda ushirikina

0
16

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Official Nai amewachana baadhi ya wasanii wanaotegemea ushirikina kwenye kazi zao za muziki kwani haina maana.

Nai amesema kuwa kulogana ni ushamba na wanarudisha wenzao nyuma hivyo amewaomba wasanii wenzake waweze kulogana kwa kazi nzuri.“

Naona kuloga siyo ishu nzuri kabisa, kwa wasanii kwa sababu unamrudisha mwenzako nyuma kila mtu anatafuta riziki yake.

Pia amesema kuwa hivyo basi mimi ningewaomba wasanii wenzangu tulogane kwa kuachia muziki mzuri tu basi huo ndiyo uchawi mkubwa,”.

LEAVE A REPLY