Waziri Mwakyembe aagiza Dudu Baya akamatwe

0
119

Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe ameliagiza rasmi Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) pamoja na vyombo vya usalam kumkamata msanii na mkongwe na muziki wa Bongo Fleva Dudubya.

Waziri Mwakyembe ameagiza hayo baada ya mwanamuziki huyo kumdhihaki marehemu Ruge Mutahaba.

Dudubaya ameonekana katika clip za video tofauti tofauti alizozipost kwenye ukurasa wake wa Instagram akiongea kuhusu Ruge Mutahaba.

LEAVE A REPLY