Muogeleaji wa Marekani apoteza mikataba ya udhamini

0
85
NEW YORK, NY - AUGUST 20: Ryan Lochte delivers Pizzeria Pretzel Combos to fans at Midtown Ferry Terminal on August 20, 2013 in New York City. (Photo by Paul Zimmerman/WireImage)

Muogeleaji wa Marekani, Ryan Lochte amepoteza mikataba yake yote minne ya udhamini baada ya wenzake watatu kudanganya kuwa waliibiwa na wezi waliokuwa na silaha katika michuano ya Olimpiki iliyofanyika mjini Rio nchini Brazil.

Kampuni ya uogeleaji ya Speedo ilikuwa ya kwanza kusitisha mkataba wake ikifuatiwa na Luxury retailer, Ralph Lauren, The Skin Care company na Kampuni ya matress na Airweave.

ryan-lochte-world-championships-1-e1439229986662

Lochte bado anakabiliwa na mashitaka ya kujibu kwa mamlaka ya michezo nchini Brazil ikiwa ni uhalifu pamoja na utovu wa nidhamu

Muogeleaji huyo anaweza kutokushiriki kabisa mashindano mengine ya kuogelea kutokana na kashfa hiyo.

LEAVE A REPLY