Mume wa Queen Darleen avunja ukimya

0
46

Mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Queen Darleen aitwae Isihack Mtoro ameamua kutoa ya moyoni juu ya watu wanavyo mchukulia mkewe. Isihack ambaye pia ni mfanyabiashara ameeleza jinsi watu wa mitandaoni wanavyoongea juu ya ndoa yake pasipo kujua mambo ya ndani.

Isihack ameandika “My Wife Queen Darleen Mama Balgis Isihaka Hongera na Pole ila najua watu wengi hawakujui wanakuona tu kwenye mitandao na kila mtu anaongea lake.

Thaman yako kwangu naijua mimi ila waache waongee na nikiamua kuongea mimi wakijua ukweli kila mtu ataacha mdomo wazi kwa vitu ntakavyoongea.

Ila nashukuru mungu nimeumbwa na uvumilivu wa kutoongea mambo ya ndan ya Familia ila itafika muda ntaongea.

LEAVE A REPLY