Muigizaji wa Hollywood, Ben Affleck amejitoa kuigiza kwenye filamu ya Batman

0
239

Muigizaji wa Marekani, Ben Affleck ametangaza kujitoa kama mwigizaji wa filamu za BatMan.

Ben Affleck ameigiza kwenye filamu ya Batman v Superman na Suicide Squad, ila kuna tetesi kuwa amepiga chini dili lingine la kufanya filamu hio ambayo angeigiza kama BatMan kwenye filamu iliyopewa jina The Batman.

Ben Affleck aliongea na studio za Warner Bros na kukubali kuandika filamu mpya ya BatMan ila mwaka jana Ben alisema alichoandika hajaridhishwa nacho na kwamba hana mpango wa kufanya filamu hizo tena.

LEAVE A REPLY