Msanii wa Harmonize kuchia EP yake

0
211

 

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka Konde Gang, Ibrah TZ amefunguka na kusema kuwa anatarajia kuachia EP yake iitwayo ‘STEPS’ yenye jumla ya ngoma 5.

Hiyo ni ni wiki moja tangu Harmonize atutambulishie kazi ya kwanza “Nimekubali” kutoka kwa msanii wake Ibraah ambaye amemsaini chini ya label, Konde Music Worldwide.

Ibraah ataidondosha EP yake iitwayo ‘STEPS’ yenye jumla ya ngoma 5. Humo ndani ni kweli amepiga hatua kwani amewakutanisha wasanii wakubwa wawili kutoka Nigeria, Skibii na Joeboy.

Pia kwenye wimbo wa mwisho Ibraah amempa shavu Boss wake kwenye ngoma iitwayo, One Night Stand ambayo inapatikana kwenye EP hiyo.

LEAVE A REPLY