Msamii awakumbuka Kajala na Irene Uwoya

0
62

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Msami amefunguka na kusema kuwa na kusema kuwa aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasanii Kajala Masanja na Irene Uwoya.

Msami ameeleza kuwa aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Kajala ingawa hakutegemea lakini hawakufikia hatua ya kuanza kuchorana tatoo.

Msami ameongeza kuwa mmoja ya mtu aliyewahi kuwa naye kwenye mahusiano na litaka kumchora tatoo ingawa hakujua kama alichorwa hiyo au hakumchora ni Irene Uwoya.

” Wanaocheka umri au kipato kwenye mahusiano hao hawajui maana ya mahusiano, mimi nawapongeza sana Harmonize an Kajala nawaombea wafikie malengo yao pia mimi ni shabiki yao nayapenda mahusiano yao nataka kuona wakifika mbali zaidi.

Msamii alianza kazi ya muziki katika kituo cha kukuza vipaji nchini Tanzania House of Talent maarufu kama THT miaka ya nyuma.

LEAVE A REPLY