Msami akana madai ya kumpa mimba video vixen

0
65

Msanii wa Bongo Fleva, Msami Baby amekana madai ya kumpa mimba mwanamke mmoja aitwaye Lizzy ambaye  aliwahi kufanya naye kazi wakati wanashoot video yake.

Msami Baby amesema mwanamke huyo alikuwa anatafuta engo ya kujulikana kwa sababu sasa hivi yeye hana muda na mapenzi.

“Yule mdada kiukweli namfahamu ila alikuwa anatafuta engo tu kwa sababu yeye ndiyo alifanya ile interview, kulitokea kukosa maelewano kati yetu kwa hiyo ndiyo akaamua kuja na ishu ile lakini sikupita naye” amesema Msami Baby

“Unajua mimi ni mtu wa kuchagua sana wanawake ikija kwenye ishu ya mahusiano siwezi kuwa na yeyote ili mradi tu, na sasa hivi sijaona wa kuwa naye nimeona bora niachane na mapenzi ili nizingatie kutengeneza maisha yangu”.

LEAVE A REPLY