Mobotto afunguka mwanaume wa kuzaa nae mtoto wa tatu

0
259

Muigizaji wa Bongo movie Hamisa Mobetto ameweka wazi kuwa endapo atazaa mtoto mwingine basi atazaa na mwanaume atakuwa amemuoa.

Hamisa ambaye tayari ana watoto wawili ambao kila mmoja ana Baba yake ambaye mmoja amezaa Mkurugenzi wa EFM Majizzo na mtoto mwingine amezaa na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz.

Kuna tetes kuwa Diamond kufunga ndoa ambapo mwanzoni mwa mwaka huu alisema lazima ataoa lakini kwa sasa inasemekana kuwa atamuoa mpenzi wake Hamisa.

Hamisa ameweka wazi kuwa tetesi zinazoendelea kuenea kuwa yeye anaolewa na Diamond sio kweli lakini anachojua ni kwamba hana mpango wa kuzaa mtoto mwingine mpaka aolewe.

LEAVE A REPLY