Mlela amtaka Diamond kuwapiga chini Zazri, Mobetto na Wema Sepetu

0
561

Mwanamuziki wa Bongo Movies, Yusuph Mlela amefunguka na kusema kuwa angekuwa yeye ndo’ Diamond Platinumz, basi asingekuwa na uhusiano na Zari, Hamisa Mobeto wala Wema Sepetu.

 Mlela amesema hayo baada ya tetesi za mwanamuziki huyo kurudiana na mzazi mwenzake, Zari The Boss Lady.

Mlela amesema kuwa kwasababu Diamond ndiyo maisha aliyoyachagua basi hana budi kuendelea nayo kama alivyozolea.

Amesema kuwa Diamond ana maisha yake na maamuzi yake pia, kwa hiyo yeye afurahie tu maisha yake its ok, mimi siwezi kumpangia.

Pia amesema Ningekuwa mimi nisingekuwa nao wote (Zari, Mobeto wala Wema), siyo kwamba siwapendi, kwanza sitembei na watu maarufu ninatoka na watu wa kawaida tu,”.

LEAVE A REPLY