Mkapa ateuliwa kuwa mwenyekiti wa heshima

0
198

Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin William Mkapa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima ‘Chairperson Emeritus’ wa South Centre.

South Centre ni jumuiya iliyoundwa kwa makubaliano ya serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchochea maendeleo katika nchi hizo.

Jumuiya hii iliundwa kwa makubaliano na ilianza kazi Julai 31, 1995 huku makao yake makuu yakiwa  Geneva, Switzerland.

Kazi yake kubwa ni kusimamia maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za kusini mwa Afrika baada ya kuteuliwa.

LEAVE A REPLY