Mfalme wa rhymes ikirudi…..Hawa ndio wanaweza kuwa washindi…..

0
307

Unawajua marapa wa HIP HOP wanaoongoza kwa kupendwa hapa Bongo?

Endapo shindano la MKALI WA RHYMES likirudishwa leo unadhani nani atachukua?

Staa wa zamani na mfalme wa rhymes Afande selle ameweka wazi mawazo yake kuhusu staa anayedhani anastahiki kutwaa tuzo hiyo endapo shindano hilo litarudi.

Afande Selle amewataja mastaa wapya Darassa, Roma Mkatoliki, Stamina na Kala Jeremiah kama washindani sahihi wa shindano hilo kwa sasa endapo litarudishwa.

‘Naumizwa kuona kwamba shindnao la Mfalme wa Rhymes halifanyiki tena ingawa watu wanataka lifanyike’

Afande Sele kawasahau kina MSODOKI, DOGO JANJA, YOUNG DEE?

LEAVE A REPLY