Mbosso afunguka ugonjwa unaomsumbua

0
51

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mbosso amefunguka na kuweka wazi kuwa anaugonjwa wa kutetemeka ambao umekuwa ukimsumbua toka akiwa mtoto mdogo.

Mbosso ameweka wazi kupitia kipindi cha The Switch ambapo Mbosso amesema “Ni ugonjwa kweli naumwa, mimi ninamatatizo ya mikono, siwezi kunyoosha mikono.

Pia amesema ugonjwa ambao niko nao tangu nazaliwa, nakumbuka kipindi nakuwa nimeshavunja sana vitu. Nakumbuka kipindi cha kwanza naingia Mkubwa na wanawe hata viongozi wangu wakawa wanahisi labda natumia vitu ambavyo sio vizuri”

Mbosso ameongeza kwa kusema kuwa “hii hali inanijiaga inaweza kuna muda ikaniacha, lakini mara nyingi inaishi kwenye maisha yangu”.

 

LEAVE A REPLY