Mboso awashukuru mashabiki wake

0
146

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mboso amewashukuru mashabiki wake kwa kumwezesha kutwaa tuzo ya video bora ya wimbo wake wa hodari iliyofanyika nchini Uganda.

Mboso amesema tuzo hiyo imempa nguvu ya kufanya vizuri zaidi baada ya kimya cha muda mrefu na kwamba siku chache zijazo ataachia kitu kipya ambacho kitakuwa cha mshindo mkuu katika anga ya muziki wa Tanzania na kuwapa majibu wanaodhani kwamba ameanza kupotea katika anga ya muziki.

Msanii huyo ameeleza hayo wakati akizungumza hayo wakati alipokuwa katika duka maarufu la Pugu Mall jijini Dar es Salaam.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa anawashukuru sana mashabiki wake kwani bila wao hawezi kufika sehemu yoyote hivyo anabundi kuwasifia.

LEAVE A REPLY