Mauma Sama aungana na Rostam kwa hili

0
84

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amefunguka na kuweka wazi anaunga mkono msemo wa wakali wa Hip Hop Roma na Stamina (Rostam).

Roma na Stamina Wameunda msemo wao wa ‘Tunafunga Jumla jumla’ kwa ajili ya kuufungia mwaka 2018 kikazi zaidi kwa njia ya Sanaa ya muziki.

 Maua Sama anayetamba na Ngoma ya Iokote alisema kuwa, ametokea kuvutiwa na msemo huo baada ya kuusikia na kwamba anatamani kuja na wimbo wenye jina hilo.

Maua Sama licha tu ya kuvutiwa na msemo wa Roma na Stamina ‘Tunafunga jumla jumla’ na kutaka kufanya wimbo Lakini pia wasanii hao wametangaza kufanya baadhi ya shoo pamoja.

LEAVE A REPLY